Kila mtu ana uwezo wa kuanzisha biashara ya kwake tofauti na mtu mwingine. Ifuatayo ni mifano michache ya biashara ambayo mtu anaweza kuanzisha na kujiongezea kipato.
A. WAFANYABIASHARA WA REJAREJA
1. Vibanda
vya bidhaa
2. Wachuuzi
wa matunda na mboga
3. Wauza
mitumba
4. Maduka
ya samani
5. Vituo
vya mafuta
6. Maduka
ya vyakula
7. Duka
la matunda na mboga
8. Duka la nguo na viatu
9. vifaa
vya nyumbani na shamba
10. Duka la
vifaa vya umeme
11. Maduka ya
mashine za shamba
12. Duka la vifaa vya kuandikia
13. Duka la madawa
14. Duka la kuoka mikate
15. Duka la bidhaa mchanganyiko
16. Duka la sare za shule
17. Duka la nyama
B. WAZALISHAJI NA WAKULIMA WADOGOWADOGO
1.
Mpakiaji
bia katika chupa
2.
Mpakiaji
soda katika chupa
3.
Watengenezaji
wa samani na mbao
4.
Wayeyushaji
wa chuma
5.
Mafundi
cherehani
6.
Kazi
za mikono( vikapu, mitingu, vyungu)
7.
Wafumaji
8.
Wasuka
mikeka
9.
Watengeneza
matofali