
TASEA is a Non-governmental, non-political, non-religious, and non-profit organization which was officially registered in November, 2011. The primary goal is to empower community through participatory approaches of enriching people with the culture of entrepreneurship. "GROW RICH AT ANY POSSIBLE AGE."
Showing posts with label TRAININGS. Show all posts
Showing posts with label TRAININGS. Show all posts
Tuesday, September 10, 2013
UPS AND DOWNS OF THE ENTREPRENEURS IN THE WORLD
I hope this information will
motivate you and provide you with courage when you experience ups and downs in
your career, business or entrepreneurship initiatives in particular. Not
everyone who’s on top today got there with success after success. More often
than not, those who history best remembers were faced with numerous obstacles
that forced them to work harder and show more determination than others. Next
time you’re feeling down about your failures in college or in a career, keep
these fifty famous people in mind and remind yourself that sometimes failure is
just the first step towards success. Business Gurus These businessmen and the
companies they founded are today known around the world, but as these stories
show, their beginnings weren’t always smooth.
Most people are familiar with this large department storechain,
but Macy didn’t always have it easy. Macy started seven failedbusiness before
finally hitting big with his store in New York City.
The billion-dollar business that is Honda began with a series
of failures and fortunate turns of luck. Honda was turned down by Toyota Motor
Corporation for a job after interviewing for a job as an engineer, leaving him
jobless for quite some time. He started making scooters of his own at home, and
spurred on by his neighbors, finally started his own business.
You may not have heard of Morita but you’ve undoubtedly heard
of his company, Sony. Sony’s first product was a rice cooker that unfortunately
didn’t cook rice so much as burn it, selling less than 100units. This first
setback didn’t stop Morita and his partners as they pushed forward to create a
multi-billion dollar company.
Wednesday, September 4, 2013
MCHAKATO WA KUANZISHA BIASHARA
Biashara ni sawa na taasisi zingine, katika uanzishwaji wake kuna mchakato muhimu wa kufuata. Ebu zingatia hatua hizi hapa chini kama una mpango wa kuanzisha biashara yako.
1. Kupata wazo la biashara
- Wazo la biashara ni maelezo mafupi juu ya shughuli ya uzalishaji mali anayotaka kufanya mjasiriamali.
- Mjasiriamali anapaswa kufikiri juu ya biashara ya aina gani ana anaweza kufanya katika eneo husika. Je ana ujuzi au uzoefu gani juu biashara anayotaka kufanya? Rasilimali gani anatakiwa kuwa nazo ilikutekeleza wazo lake.
- Je anafahamu kwa kiasi gani soko la biashara anayotaka kufanya.
- Je atawapata wataalam wa kumsaidia katika kufanikisha wazo lake ?
- Mtaji kiasi gani unahitajika ?
2. Kujenga hoja:
Baada ya tathimini hapo juu mjasiriamali anapaswa kujenga hoja kama ifuatavyo
- Kuunda biashara kichwani
- Aweke wazo lake katika maandishi
- Atajiuliza zaidi maswali ya msingi juu ya bidhaa au huduma anazotaka kufanyia kazi.
-Uhakika wa soko ukoje, mtaji utapatikanaje, atauzaje bidhaa au huduma, sehemu ya biashara itakuwa wapi ? washindani wngapi ? ulinzi na usalama katika eneo husika ukoje ? taratibu za kisheria zikoje ? Muda gani utahitajika kufanya maandalizi ? kuweka malengo.
Saturday, August 31, 2013
KUTAMBUA FURSA ZA BIASHARA
Fursa ni mapengo ya mahitaji yaliyoko katika jamii yanayohitaji kuzibwa. Kwa maana ingine fursa ni hitaji, nafasi au changamoto au mazingira fulani ambayo mjasiriamali hutumia kuibua wazo la biashara. Wazo la biashara ndio chimbuko la biashara.
Mjasiriamali ana mazingira
yanayomsaidia kutambua fursa ya biashara.
a) Mazingira
ya ndani/Maisha binafsi
- Mjasiriamali anapaswa kuangilia maisha yake
binafsi.
-
Kazi alizowahi kufanya huko nyuma
-
Mambo unayoyapenda kufanya mara kwa mara
b) Mazingira ya nje
-
Watu wanaokuzunguka
-
Maeneo unayopenda kutembelea mara kwa mara
-
Mahitaji ya jamii unayoyaona
Njia zifuatazo humsaidia mtu kutambua fursa
ya biashara
1. Vyombo
vya habari kama magazeti, redio, TV.
2. Mitandao
ya Komputa yaani Inteneti
3. Majarida
4. Maonesho
ya biashara
5. Machapisho
ya magari
6. Mazungumzo
7. Kusafiri
sehemu moja hadi ingine
8. Mihadhara
9. Kufuatilia
sera ya nchi mfano kilimo kwanza
10. Kutembelea
taasisi za biashara
11. Watoa
ushauri kuhusu biashara
Fursa sawa kwa wote, chukua hatua.
Friday, August 30, 2013
MAFUNZO YA TASEA 2013
TASEA kwa 2013 iliendesha mafunzo ya ujasiriamali katika Lodge ya Stella Maris iliyopo Mailisita Hai Kilimanjaro.
Zifuatazo ni baadhi ya picha wakati wa Mafunzo.
Afisa ustawi wa jamii kutoka Mkombozi Center akifuatilia mafunzo.
Washiriki wa mafunzo wakimsikiliza mwezeshaji (hayuko pichani)
MIFANO YA BIASHARA UNAZOWEZA KUANZISHA ( kwa wafanyabiashara wadogo)
Kila mtu ana uwezo wa kuanzisha biashara ya kwake tofauti na mtu mwingine. Ifuatayo ni mifano michache ya biashara ambayo mtu anaweza kuanzisha na kujiongezea kipato.
A. WAFANYABIASHARA WA REJAREJA
1. Vibanda
vya bidhaa
2. Wachuuzi
wa matunda na mboga
3. Wauza
mitumba
4. Maduka
ya samani
5. Vituo
vya mafuta
6. Maduka
ya vyakula
7. Duka
la matunda na mboga
8. Duka la nguo na viatu
9. vifaa
vya nyumbani na shamba
10. Duka la
vifaa vya umeme
11. Maduka ya
mashine za shamba
12. Duka la vifaa vya kuandikia
13. Duka la madawa
14. Duka la kuoka mikate
15. Duka la bidhaa mchanganyiko
16. Duka la sare za shule
17. Duka la nyama
B. WAZALISHAJI NA WAKULIMA WADOGOWADOGO
1.
Mpakiaji
bia katika chupa
2.
Mpakiaji
soda katika chupa
3.
Watengenezaji
wa samani na mbao
4.
Wayeyushaji
wa chuma
5.
Mafundi
cherehani
6.
Kazi
za mikono( vikapu, mitingu, vyungu)
7.
Wafumaji
8.
Wasuka
mikeka
9.
Watengeneza
matofali
Subscribe to:
Posts (Atom)