Friday, August 30, 2013

MIFANO YA BIASHARA UNAZOWEZA KUANZISHA ( kwa wafanyabiashara wadogo)

Kila mtu ana uwezo wa kuanzisha biashara ya kwake tofauti na mtu mwingine. Ifuatayo ni mifano michache ya biashara ambayo mtu anaweza kuanzisha na kujiongezea kipato.

A. WAFANYABIASHARA WA REJAREJA

1.    Vibanda vya bidhaa
2.    Wachuuzi wa matunda na mboga
3.    Wauza mitumba
4.    Maduka ya samani
5.    Vituo vya mafuta
6.    Maduka ya vyakula
7.    Duka la matunda na mboga
8.     Duka la nguo na viatu
9.    vifaa vya nyumbani na shamba  
10. Duka la vifaa vya umeme
11. Maduka ya mashine za shamba
12. Duka la vifaa vya kuandikia
13. Duka la madawa
14. Duka la kuoka mikate
15. Duka la bidhaa mchanganyiko
16. Duka la sare za shule
17. Duka la nyama


B. WAZALISHAJI NA WAKULIMA WADOGOWADOGO



1.   Mpakiaji bia katika chupa
2.   Mpakiaji soda katika chupa
3.   Watengenezaji wa samani na mbao
4.   Wayeyushaji wa chuma
5.   Mafundi cherehani
6.   Kazi za mikono( vikapu, mitingu, vyungu)
7.   Wafumaji
8.   Wasuka mikeka
9.   Watengeneza matofali

10.Wachoraji /waweka alama
11.Wchoma mkaa
12.Wafugaji kuku wa mayai
13.Wafugaji wa kuku wa nyama
14.Wafugaji wa nguruwe
15.Wasindikaji wa maziwa na nyama
16.Wakulima wa mboga
17.Wakulima wa mazao


 C. WAFANYABIASHARA WA JUMLA

1.    Bidhaa za kilimo
2.    Vifaa vya ujenzi
3.    Wauza nafaka
4.    Wauza mbao
5.    Maduka ya jumla

  D. WATOAJI WA HUDUMA



1.       Madaktari
2.       Kliniki
3.       Benki
4.       Mafundi magari
5.       Mafundi redio
6.       Mafundi umeme
7.       Huduma ya kujenga na kusafisha ofisi
8.       Huduma ya ulinzi
9.       Shule za chekechea
10.    Baa au vilabu
11.    Migahawa
12.    Mafundi baiskeli
13.    Wanoaji visu
14.    Hoteli
15.    Kituo cha uhandisi
16.    Makadarasi wa ujenzi
17.    Mafundi bomba
18.    Mawakala wa huduma za umeme
19.    Taasisi ya ushauri wa biashara
20.    Huduma za stationery




No comments:

Post a Comment